Jiji la Dodoma limeandaa program ya mafunzo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ambao kwa kipindi hiki wako nyumbani wakati wa likizo ya mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
Program hiyo itahusisha masomo kwa njia ya vipindi vya redio, picha za video kupitia televisheni ya mtandaoni, na kwa kutumia nakala laini 'softcopy' kwenye tovuti ya jiji la dodoma.
Msikilize Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi akifafanua zaidi.
Kituo Kikuu cha Mabasi kipya cha jijini Dodoma kipo tayari kuanza kazi. Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi ametoa maelezo ya huduma ambazo zitapatikana katika kituo hicho. Endelea kutazama...
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.