Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana Sharifa Nabalang'anya atembelea kikundi cha akina mama (AMI). Kikundi hiki kilipata mkopa kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kimeanza biashara ya ufugaji kuku, msikilize Sharifa akielezea pamoja na ushuhuda wa mwanakikundi...
Ni marufuku kukata miti Jijini Dodoma, lengo ni kuikijanisha Dodoma na kutunza uoto wa asili.
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongeza masaa ya mawili kila siku kwa shule za sekondari ili kufidia muda uliopotea katika mapumziko ya ugonjwa wa Covid-19 kwa lengo la kutoathiri muhtasari wa elimu na kuwapatia wanafunzi elimu inayostahili kwa mujibu wa ratiba.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.