Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde ameshiriki shughuli za ujenzi wa shule ya Sekondari huku akichangia mifuko ya saruji na vifaa vingine vya ujenzi. Fuatilia kwenye video...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Binilith Mahenge akiongozana na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi wametembelea eneo ambalo mwananchi alikaidi amri ya kutojenga kwa kukosa kibali na kutoa agizo...Fuatilia...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Mifumo zaungana kusaidia wana Dodoma katika ufugaji bora wenye tija.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.