Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru amefanya maamuzi ya kuja na mbinu mpya ya utatuzi wa migogoro ya ardhi katika Jiji la Dodoma.
Fuatilia mahojiano ya Moses Mpunga akiongea na wakazi wa Dodoma kuhusiana na msiba mkubwa wa Taifa wa kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (1938 - 2020). Karibu...
Mwandishi wetu leo ametembea viunga vya Jiji la Dodoma na kuzungumza na wananchi ambao wameelezea kufurahishwa kwao na maendeleo yanayofanyika katika jiji la Dodoma.
Endelea pamoja nasi...
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.