BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dodoma wameeleza kufurahishwa na miradi iliyotekelezwa chini ya Mradi wa Uendelezaji Miji wa Kimkakati (TSCP) jijini Dodoma. Fuatilia video hii.
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameazimia kusimamia suala la utoro mashuleni wakishirikiana na Watendaji wa Kata.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.