Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Mhe. Pro, Davis Mwamfupe amewapongeza wachezaji wa Timu ya Dodoma Jiji FC kwa kukuza michezo Jijini Dodoma. Angalia video kwa maelezo zaidi.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Peter Mavunde amekabidhi madawati 590 kwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, angalia video kwa maelezo zaidi.
Jiji la Dodoma kusajili huduma ndogo za fedha, zitambulike, tazama video kwa ufafanuzi zaidi...
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.