Tazama tukio la Kitaifa la Uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwaka 2022. Uzinduzi huu umefanyika kitaifa Jijini Dodoma tarehe 14/09/2021 na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
'TAHOSA' wa kumbushwa kusimamia ufaulu, utendaji kazi, maadili na nidhamu, miradi ya elimu mashuleni
Wasanii watashiriki kusherehesha uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Uzinduzi huu unabebwa na kauli mbiu isemayo: SENSA KWA MAENDELEO, JIANDAE KUHESABIWA.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.