Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri amefanya ziara kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Fuatilia katika video hii.
UHIFADHI na utunzaji wa mazingira ni wajibu wa jamii nzima kwa lenygo la kujiondoa katika wimbi la umasikini na kujiletea maendeleo nchini.
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda aliyekuwa mgeni rasmi katika zoezi la kupanda miti katika shule ya Sekondari Nala iliyopo jijini Dodoma tarehe 16 Oktoba, 2021.
Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekagua na kupongeza kazi ya ujenzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali Jijini Dodoma.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.