WALIMU wanaofundisha somo la kiingereza katika shule za sekondari Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kujipanga kujenga umahiri wa somo hilo kwa wanafunzi ili wabobee katika lugha hiyo.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewataka Viongozi wote kutoka Halmashauri, Mkoa na kwenye Wizara kutambua mchango wa Vijana katika ujenzi wa uchumi wa nchi.
Tazama tukio la Kitaifa la Uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwaka 2022. Uzinduzi huu umefanyika kitaifa Jijini Dodoma tarehe 14/09/2021 na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.