Imewekwa tarehe: May 2nd, 2019
RISALA iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Mkoa wa Dodoma wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Mwaka huu imeeleza jinsi wafanyakazi wa Wizara na Taasisi mbalimbali...
Imewekwa tarehe: April 30th, 2019
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa kutimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake na kuweza kuboresha Mawasilia...
Imewekwa tarehe: April 26th, 2019
Halmashauri zote zakusanya Bilioni 449 Mapato Ya Ndani
IKIWA imepita robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, Halmashauri zote nchini zimekusanya Sh. bilioni 449.8 ambayo ni asilimia 61 kati ...