Imewekwa tarehe: July 10th, 2019
MFUKO wa Afya ya Jamii Ulioboreshwa unalenga kumhakikishia mwananchi uhakika wa afya njema kupitia matibabu kwa mwaka mzima wilayani Dodoma.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrob...
Imewekwa tarehe: July 9th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma leo Julai 9, 2019 imemtambulisha kocha mkuu wa timu ya soka ya ‘Dodoma Football Club’ (DFC) inayomilikiwa na Halmashauri hiyo Mbwana Makata ambapo anaanza mara moja kazi ...
Imewekwa tarehe: July 7th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inakusudia kuanza mradi wa ujenzi wa hotel kubwa yenye hadhi ya nyota nne (4) kwa kutumia mapato ya ndani (Own Source Collection). Jengo hilo ni miongoni mwa vitegauchumi...