Imewekwa tarehe: August 29th, 2019
MBUNGE wa Dodoma Mjini, Mhe. Antony Mavunde amesema ujenzi wa hoteli ya nyota nne katikati ya Jiji la Dodoma utachochea maendeleo, biashara na utoaji huduma za kijamii jijini hapo.
Amesema hayo kab...
Imewekwa tarehe: August 29th, 2019
Jumla ya wanafunzi 1,674 kati ya wanafunzi 1,861 waliokuwa wanasubiri chaguo la pili la kujiunga na kidato cha tano, wamepewa nafasi hiyo baada ya kuwa na sifa zinazotakiwa.
Hayo yamebainishwa na W...
Imewekwa tarehe: August 28th, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanaweka mikakati kwa kubuni miradi ambayo itawasaidia kwa kujiwekea...