Imewekwa tarehe: September 6th, 2019
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe amefariki dunia.
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu na Baba wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe. Afrika imepoteza mmoja...
Imewekwa tarehe: September 5th, 2019
WABUNGE wamepongeza kupelekwa Bungeni Muswada wa Sheria wa Serikali Mtandao, utakaoweka mfumo thabiti wa kisheria utakaozuia urudufu wa mifumo na miundombinu ya serikali mtandaoni.
Muswada huo pia ...
Imewekwa tarehe: September 4th, 2019
Mahakama Kuu ya Gauteng imeamuru kuachiwa kwa ndege ya Serikali ya Tanzania inayosimamiwa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa imezuiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo,...