Imewekwa tarehe: September 12th, 2019
MAAFISA Watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kusimamia utekelezaji wa afua za lishe katika Kata zao ili kukabiliana na hali duni ya lishe.
Kauli hiyo ilitolewa na kaimu...
Imewekwa tarehe: September 11th, 2019
BUNGE limeridhia azimio la kubadilisha hadhi ya sehemu ya Pori la Akiba la Ugalla lililopo mkoani Tabora kuwa Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla.
Pia limeridhia azimio la kubadilisha hadhi ya sehemu ya...
Imewekwa tarehe: September 11th, 2019
Bunge jana lilikubali kuunda mbuga tatu za kitaifa, na kufanya idadi ya mbuga nchini kufikia 24 ambayo ni idadi ya juu zaidi barani Afrika.
Akizungumza baada ya kuidhinishwa kwa mpango huo, Waziri ...