Imewekwa tarehe: September 28th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeingiza viwanja 31 vya kimkakati sokoni kwa njia ya mnada ili kuweka uwazi katika zoezi la uuzaji viwanja hivyo na kuepuka mianya ya rushwa.
Kauli hiyo ilitolewa na ...
Imewekwa tarehe: September 27th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongeza uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 13 kwa mwaka wa fedha 2018/2019 katika jihudi zake za kujitegemea kimapato.
Kauli hiyo ilitolewa na katibu wa Baraza la Mad...
Imewekwa tarehe: September 27th, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanasimamia kwa weledi fedha zilizotengwa kwa aj...