Imewekwa tarehe: July 18th, 2020
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato.
"Biashara ya bustani inalipa sana,...
Imewekwa tarehe: July 18th, 2020
Timu ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza nchini msimu wa 2019/20 baada ya kuifunga timu ya Gwambina FC kutoka Jijini Mw...
Imewekwa tarehe: July 18th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameahirisha sherehe za Mashujaa zilizokuwa zifanyike tarehe 25 Julai, ...