Imewekwa tarehe: March 24th, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho sio za kweli. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu imesema taarifa hzo...
Imewekwa tarehe: March 24th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino.
Kika...
Imewekwa tarehe: March 24th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeamua kutoka ofisini na kuwafuata wagonjwa wa kifua kikuu na kuwaanzishia tiba katika mkakati wa kupambana na maambukizi mapya kwa jamii.
Mkakati huo ulitajwa na mra...