Imewekwa tarehe: March 20th, 2020
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma kwa mara nyingine imeandika historia, kwa madaktari wazawa peke yao kufaulu kupandikiza figo kwa ufanisi mkubwa. Madaktari hao wamefaulu kupandikiza ...
Imewekwa tarehe: March 19th, 2020
WIZARA ya Afya imesema wagonjwa wapya wawili (Watanzania) wamethibitika kuwa na COVID-19 jijini Dar es Salaam, na mmoja kutokea Zanzibar na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa waliothibitika nchini mpaka ...
Imewekwa tarehe: March 18th, 2020
Halmashauri ya Jiji la Dodmoa, imetoa onyo kwa wafanyabiashara wadogo (Machinga) kuacha kupanga bidhaa zao kabla ya muda uliopangwa kwenye barabara pembeni ya Nyerere Square inayotumika kama 'soko la ...