Imewekwa tarehe: April 1st, 2020
Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza limeanza leo Bungeni jijini Dodoma chini ya uongozi wa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai. Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020. ...
Imewekwa tarehe: March 31st, 2020
Serikali imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19 ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona. Kifo hicho kimetokea leo alfajiri ya tarehe 31 Machi 2020 katika kituo cha wagonjwa wa Covid-19...
Imewekwa tarehe: March 30th, 2020
Mkutano wa 19 wa Bunge la kumi na moja ambao ni mahsusi kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya Serikali utaanza Jumanne tarehe 31 Machi 2020 na kuendelea hadi tarehe 30 Juni 2020.
Hayo yamesemwa katika t...