Imewekwa tarehe: August 7th, 2020
Kampuni ya Lonagro imekuja na suluhisho la zana za kilimo kwa lengo la kukifanya kilimo kiwe cha kibiashara nchini na kuleta tija zaidi.
Kauli hilo imetolewa na Meneja wa tawi la Dodoma, Petro Benj...
Imewekwa tarehe: August 7th, 2020
Wanachi wametakiwa kuwachunguza na kuwajua wagombea wa ngazi mbalimbali za uongozi ili wasije kufanya makosa katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Octoba 2020.
Hayo yamesemwa na Afisa H...
Imewekwa tarehe: August 7th, 2020
WAJASIRIAMALI nchini wamekumbushwa kuwa wanawajibu wa kuwatafuta wanufaika wa bidhaa zao sehemu mbalimbali ili waweze nunua bidhaa hizo tofauti na dhana iliyozoeleka ya kukaa wakisubiri na kulalamikia...