Imewekwa tarehe: September 9th, 2020
AHADI ya Rais John Magufuli ya kuifungua Wilaya ya Mpwapwa kwa miundombinu imetimia katika muda mfupi kwa kuanza ujenzi wa barabara za lami na hivyo wilaya hiyo itaunganishwa na barabara kuu za Dodoma...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima....
Imewekwa tarehe: September 9th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wake Marehemu Hellen Minja aliyefariki tarehe 7 Septemba, 2020 katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Akitoa sa...