Imewekwa tarehe: November 9th, 2020
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli leo tarehe 09 Novemba, 2020 amemuapisha Profesa Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Hafla ya kuapishwa kwake imefa...
Imewekwa tarehe: November 7th, 2020
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA Dodoma ikishirikiana na taasisi ya THE ONE NEW HEART Tanzania wanawatangazia wazazi wote wenye watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo kuwaleta watoto wao katika Hospital...
Imewekwa tarehe: November 6th, 2020
KAMPUNI ya Greenland Group ya nchini China imesaini makubaliano ya kuagiza kontena 10 za mvinyo wa Tanzania kwa ajili ya majaribio katika soko la China.
Mkataba huo umesainiwa katika Maonesho ya Ki...