Imewekwa tarehe: March 19th, 2021
Tanzania leo inaingia katika historia mpya kwa kupata Rais wa kwanza Mwanamke na hotuba yake ya kwanza ataitoa punde baada ya Kiapo kutoa mwelekea wa taifa.
Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais...
Imewekwa tarehe: March 18th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar Es Salaam.
Taarifa ya Msiba huo mkubwa wa kitaifa imetolewaa na Makamu ...
Imewekwa tarehe: March 18th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt Binilith Mahenge amewataka wataalamu wa Wakala wa barabara nchini TANROADS Mkoa wa Dodoma na Wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA kujenga utaratibu wa kuwa karibu...