Imewekwa tarehe: April 21st, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde (mwenye kaunda suti pichani kulia) leo tarehe 21 Aprili, 2021 amekabidhi saruji tani 29 kwa Afisa Elimu Msingi na Afisa Elimu Sekondari ili kusaidi...
Imewekwa tarehe: April 20th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo imara na miradi yote ya kimkakati inaendelea kujengwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali yao.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Juma...
Imewekwa tarehe: April 20th, 2021
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari 10 katika Kata ya Nzuguni kwa ajili ya kuanzisha mnada wa kuchoma nyama pamoja na kuuza bidhaa nyingine kama vinywaji.
Eneo hilo li...