Imewekwa tarehe: June 2nd, 2021
KIKOSI cha wakali wa Makao Makuu ya Nchi, 'Walima Zabibu', Dodoma Jiji Football Club kimeanza mazoezi rasmi baada ya kuwa mapumzikoni kwa siku tano.
Kikosi hicho kimerejea kambini jana tarehe 01/06...
Imewekwa tarehe: June 2nd, 2021
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Joyce Ndalichako amefunga maonesho ya pili ya elimu na mafunzo ya ufundi, na kuwashukuru Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi kwa kutambua mchango wa sekta binafsi...
Imewekwa tarehe: June 2nd, 2021
Na Nemes Michael, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeendelea kutekeleza kaulimbiu ya wiki ya mazingira duniani isemayo “Tutumie nishati mbadala ili kuongoa mfumo ikolojia”, kwa kutoa elimu ya ...