Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge maalum wa Uhuru kitaifa mwaka 2021, Lt. Josephine Mwambashi amekipongeza kikundi cha vijana cha Dodoma Data Tech TEHAMA na Umeme kwa uamuzi wao wa kujiunga na kujiajiri.
...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
WILAYA ya Dodoma imepongezwa kwa kupiga hatua kimaendeleo kufuatia ujenzi wa miundombinu inayoboresha maisha ya wananchi na huduma bora.
Kauli hiyo ilitolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge maalum wa...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
WASHIRIKI katika kukimbiza Mwenge maalum wa Uhuru mwaka 2021 wametakiwa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari zote dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19.
Ushauri huo ulitolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge Ma...