Imewekwa tarehe: August 13th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza kilimo cha zao la zabibu na kuhakikisha linaleta tija kwa wakulima.
...
Imewekwa tarehe: August 13th, 2021
KATIBU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ametoa ruksa kwa wananchi wote wenye zaidi ya miaka 18 kupata huduma ya Chanjo, huku akielekeza makundi ya kipaumbe...
Imewekwa tarehe: August 11th, 2021
Na Getruda Shomi, DODOMA
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri (wa kwanza kushoto pichani juu) ametoa mapendekezo ya kuongeza vivutio, kuweka teknolojia rafiki ya ulinzi ili kulinda usalama wa...