Imewekwa tarehe: August 16th, 2021
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza wananchi 1,672 waliovamia maeneo na kuyaendeleza katika mtaa wa Mbuyuni kata ya Kizota mkoani Dodoma kupimiwa na kumilikishwa ku...
Imewekwa tarehe: August 16th, 2021
WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa Serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma.
Kutokana na hatua hiyo, ...
Imewekwa tarehe: August 15th, 2021
TIMU ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Septemba, 2021 kwa kusajili nyota wa...