Imewekwa tarehe: September 17th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) katika kila halmashauri nchini.
...
Imewekwa tarehe: September 17th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais-TAMISEMI ihakikishe inasimamia ujenzi wa majengo ya ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kigoma unafanyika kwenye Kata ya Mahembe kama ilivyopendekezwa...
Imewekwa tarehe: September 17th, 2021
MADIWANI Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamefanya ziara katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma lenye lengo la kujifunza juu ya uanzishwaji na uendeshaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo bustani...