Imewekwa tarehe: September 25th, 2024
Mtaa wa Sokoine ambao upo katika Kata ya Chamwino, Halmashauri ya Jiji la Dodoma umeadhimisha siku ya Afya na Lishe ya Kijiji/Mtaa (SALIKI), maadhimisho haya yataendelea katika mitaa yote ndani ya Kat...
Imewekwa tarehe: September 24th, 2024
VIONGOZI wa soko la wazi la Machinga lililopo Mtaa wa Kitenge, Kata ya Majengo katika Jiji la Dodoma, wamesimamishwa uongozi kupisha uchunguzi kutokana na kudaiwa kutenda makosa ya kiuongozi na kijina...
Imewekwa tarehe: September 23rd, 2024
Na. Faraja Mbise, DODOMA
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde, ameahidi kuwatengenezea mazingira mazuri na rafiki ya kufanyia biashara mama lishe waliopo pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa...