Imewekwa tarehe: December 4th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Disemba 4, 2021, ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili katika barabara za Kilwa...
Imewekwa tarehe: December 3rd, 2021
SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Mhe. Anne Makinda amezindua matumizi ya mfumo wa anwani za makazi leo Jijini Mwanza. Halfla iliyowashiri...
Imewekwa tarehe: December 3rd, 2021
DONDOO
KAMISHNA Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) Bw. Gerald Kusaya leo Desemba 03, 2021 Jijini Dar es Salaam ameelezea mafanikio yaliyopatikana katika kipindi...