Imewekwa tarehe: November 20th, 2024
Na. Faraja Mbise, MSALATO
WANANCHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wametakiwa kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba ya kupiga kura na kuchagua viongozi walio bora na wenye tija kwa maendeleo ...
Imewekwa tarehe: November 20th, 2024
Na. Faraja Mbise, DODOMA
TAASISI zilizopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma pamoja na wananchi, wamehimizwa kupanda miti katika maeneo wanayofanyia kazi na wanayoishi ili kuifanya Dodoma iwe ya kijani ...
Imewekwa tarehe: November 19th, 2024
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru wadau wote pamoja na wananchi walio...