Imewekwa tarehe: January 21st, 2023
MAKUMBUSHO ya Taifa la Tanzania imepongezwa kwa uhifadhi endelevu unaowapatia wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi elimu ya masuala ya uongozi, historia na utamaduni wa Watanzania na kuifanya ...
Imewekwa tarehe: January 20th, 2023
WIZARA ya Maji imepanga kukutana na wadau wanaotumia maji ili kuweka mfumo mzuri wa ushirikiano na kuepuka changamoto mbalimbali.
Waziri ya Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo na kuwakumbusha w...
Imewekwa tarehe: January 19th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imekadiria kukusanya na kutumia mapato yenye jumla ya shilingi 128,278,555,369 kutoka vyanzo katika vyanzo vyake...