Imewekwa tarehe: August 6th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
CHEMS farm imedhamiria kuzalisha madume bora ya mbuzi aina ya Boha ili kuwasaidia wafugaji kuboresha mifugo yao ya asili katika kanda ya kati.
Kauli hiyo ilitolewa na M...
Imewekwa tarehe: August 4th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeanzisha teknolojia ya nishati mbadala ili kuondoa matumizi ya kuni na mkaa kwa wakazi wa mikoa ya kanda ya kati.
Kauli hiyo ilitolewa n...
Imewekwa tarehe: August 2nd, 2023
Na. Dennis Gondwe, NZUGUNI
WANANCHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamehamasishwa kujifunza teknolojia ya ufugaji wa samaki na kuku kwa pamoja ili kujiongezea kipato.
Hamasa hiyo ilitolewa na ...