• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Viongozi toeni motisha kwa walimu

Imewekwa tarehe: January 27th, 2023

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka viongozi ngazi zote kutoa motisha kwa walimu ili kuongeza ari ya ufundishaji kwa watoto mashuleni.

Dkt. Msonde ameyasema hayo leo Januari 19, 2023 Jijini Mwanza kwenye kikao kazi cha mapitio ya tathmini ya utekelezaji wa shughuli za uboreshaji na usimamizi wa elimu nchini.

Amesema imefika mahali viongozi wakatambua umuhimu wa kutoa motisha kwa walimu kwa kuwa ndio waliobeba dhamana ya malezi na ufundishaji wa watoto ambao ndio tegemeo la taifa.

Dkt. Msonde amesema mwalimu ni mzazi wa pili kwa kuwa anakaa na watoto wakiwa na umri mdogo mpaka wanapokuwa hivyo ni watu muhimu katika jamii ni wajibu wa viongozi kuwatunza kuwaheshimu na kuwadhamini.

"Walimu wanawajibu wa kuhakikisha nidhamu, maadili, uzalendo na utanzania wa mtoto unafundishwa na kushawishi jamii juu ya jinsi gani mtoto awe, hivyo ni vyema tukatoa motisha kwa walimu nchini ili kuongeza ari ya utunzaji na ufundishaji wa watoto wetu,"amesema Dkt. Msonde

Aidha, Dkt. Msonde ametumia fursa hiyo kutoa rai kwa walimu wote nchini kujitoa kwa moyo kwenye ufundishaji wa watoto kuanzia ngazi ya awali kwa kuwa ndio wamebeba dhamana ya kumkuza mtoto kimaadili, kiujuzi na kuhakikisha anajitegemea na kuwa raia mwema.

Matangazo

  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Maboresho makubwa sekta ya Afya Dodoma

    March 23, 2023
  • Miradi ya Mapato ya ndani yaanza kutoa matunda

    March 23, 2023
  • Agizo la Rais kuhusu Machinga latimia Dodoma

    March 22, 2023
  • Upatikanaji dawa, vifaa tiba waimarika

    March 21, 2023
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.