• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tembeleeni banda la Jiji Ukumbi wa JK - CD Mafuru

Imewekwa tarehe: April 29th, 2022

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

WANANCHI wameshauriwa kutembelea banda la Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika kilele cha maonesho ya Usalama na Afya mahala pa kazi yanayofanyika katika viunga vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru alipokuwa akitoa taarifa ya Katibu katika mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

Mafuru alisema kuwa katika viunga vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center yanaendelea maonesho yanayoratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi. “Halmashauri ya Jiji la Dodoma ina banda katika maonesho hayo. Hivyo, nitumie nafasi hii kuwaalika wananchi wa Dodoma kutembelea banda hilo na kujionea na kusikiliza mambo mazuri yanayoendelea kutekelezwa katika Jiji la Dodoma na fursa mbalimbali zilizopo” alisema Mkurugenzi Mafuru.

Kwa upande wa Mchumi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Roseria Hhari alisema kuwa wananchi wanakaribishwa kutembelea banda la Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kupata elimu na ushawishi wa kufikia fursa zilizopo katika Jiji la Dodoma. “Katika banda letu, mwananchi atapata fursa zilizopo katika Jiji la Dodoma, viwanja vilivyopo na maeneo ya kimkakati ya uwekezaji. Mfano, tuna viwanja katika maeneo ya Mtumba, Kikombo na eneo la viwanda Nala. Lakini pia tuna mashamba ya mjini eneo la Zuzu” alisema Roseria.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za ajira za Jeshi la Magereza kwa mwaka 2022 June 02, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Jiji la Dodoma May 27, 2022
  • Tangazo kuhusu zoezi la Anuani za Makazi na Postikodi April 30, 2022
  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2022 April 28, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Julai 7 Siku ya Kiswahili Duniani, Quatar yaalikwa

    June 23, 2022
  • Sumbawanga wafurahia elimu kutoka Dodoma Jiji

    June 22, 2022
  • Wete, Dodoma Jiji kukuza ushirikiano

    June 22, 2022
  • Mavunde aipongeza Mbeya kutenga mashamba makubwa ya kilimo cha soya

    June 20, 2022
  • Angalia zote

Video

Chang'ombe wampongeza Diwani wao, utatuzi kero za elimu, afya
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.