• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali kuweka nyasi bandia uwanja michezo Dodoma

Imewekwa tarehe: June 16th, 2022

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

SERIKALI ya awamu ya sita kutoa msamaha wa kodi kwenye nyasi bandia hadi ngazi ya halmashauri na kuweka nyasi hizo katika kiwanja cha michezo Dodoma.

Kauli hiyo ilitolewa wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2022/2023 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.

“Nichukue nafasi hii kuwahakikishia watanzania kuwa tutaweka nyasi bandia kwenye viwanja vitano kwa kuanzia Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Mbeya ili kukuza michezo hapa nchini. Katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 msamaha wa kodi kwenye nyasi bandia na vifaa ambata vyake utakwenda mpaka ngazi ya halmashauri” alisema Dkt. Nchemba.

Waziri wa Fedha alisema kuwa serikali itarudisha michezo ya bahati nasibu ya taifa kupitia sekta binafsi. “Sambamba na hiyo serikali kupitia Bodi ya michezo ya kubahatisha, TRA na sekta binafsi wataanza kuendesha bahati nasibu kwa kupitia risiti za EFD ili kuchochea wananchi kudai risiti wanaponunua bidhaa. Serikali itatumia sehemu ya michango ya wajibu wa kampuni kwa jamii kwa kiwango kisichozidi asilimia mbili kwa ridhaa ya waziri mwenye dhamana ya masuala ya fedha ili kuendeleza michezo nchini.

Aidha, waziri aliipongeza timu za Serengeti girls na Tembo warriors kwa kukata tiketi za kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya dunia. “Niitakie kila la heri timu yetu ya Taifa stars ambayo bado iko kwenye kampeni za kutafuta tiketi ya mashindano ya kimataifa” alisema Dkt. Nchemba.

Matangazo

  • Karibu nyumbani Dodoma Mhe. Rais Samia August 12, 2022
  • Karibu Mwenge wa Uhuru August 16, 2022
  • Majina ya Makarani, Wasimamizi Maudhui na Wasimamizi TEHAMA waliochaguliwa kufanya kazi ya SENSA 2022 July 28, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili Makarani na Wasimamizi Maudhui - SENSA 2022 July 18, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Wananchi kushiriki vema katika Sensa ya watu na makazi-

    August 18, 2022
  • Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ampongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    August 17, 2022
  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru aridhishwa na wingi wa wananchi kwenye mkesha wa Mwenge

    August 19, 2022
  • Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ampongeza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma

    August 17, 2022
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.