• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Maafisa Afya wapatiwa Mafunzo ya ufatiliaji Washukiwa wa Ugonjwa wa Ebola

Imewekwa tarehe: November 12th, 2022

WIZARA ya Afya imeendesha mafunzo kwa Maafisa Afya 100 wa Mkoa wa Dar es Salaam kwaajili ya ufuatiliaji wa tetesi au washukiwa ambao wametoka katika nchi ambazo zinamaambukizi ya Ebola.

Akizungumza katika Mafunzo hayo leo Novemba 12,2022 Jijini Dar es Salaam Mtaalamu wa Magonjwa kutoka Wizara ya Afya Dkt. Biseko Palapala amesema mafunzo hayo ni kuwaweka wataalamu utayari endapo ikatokea mlipuko wawe na uwezo wa kufuatilia wale wote ambao watashukiwa ambao ni wasafiri watakaoingia nchini wakiwa na maambukizi ya virusi vya Ebola.

"Tunawapa ili kuwajengea uwezo kwasababu siku zote ugonjwa unatakiwa utambulike mapema pamoja na kutambua yule ambaye alikuwa na dalili za ugonjwa amekutana na watu gani ili kusudi wale watu wafuatiliwe kupunguza usambazaji wa ugonjwa". Amesema Dkt. Palapala.

Amesema Tanzania ni moja ya nchi ambazo ipo katika hatari ya kupatikana na maambukizi ya Ebola kwasababu inapakana na nchi ya Uganda ambayo tayari virusi vimeshaeneo nchini humo.

Aidha amesema Tanzania na Uganda ni nchi ambazo zinamuingiliano hivyo ili kuweza kupunguza kasi ya maambukizi ya ugonjwa lazima wafuatilie wale ambao wamekutana na yule mtu ambaye anamaambukizi.

Amesema mafunzo ni ya siku tano ambapo siku tatu za mwanzoni watakuwa wanatoa mafunzokwa maafisa afya lakini pia siku mbili watakuwa wanafundisha wale ambao watahusika na jamii moja kwa moja.

Amesema mafunzo hayo pia yanaendelea kutolewa katika mikoa mingine ikiwemo mkoa wa Kagera ili kusudi wataalamu waliopo kwenye mikoa mingine waweze kupatiwa uwezo ili kupambana na maambukizi ya Ebola.

Matangazo

  • Salamu za heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan January 27, 2023
  • Taarifa kwa Umma January 17, 2023
  • Salamu za heri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar January 12, 2023
  • Heri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar January 12, 2023
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Dkt. Mabula ataka mafunzo ya maadili kwa madalali

    January 30, 2023
  • Waziri Mkuu awasisitiza wabunge washiriki michezo

    January 29, 2023
  • Viongozi toeni motisha kwa walimu

    January 27, 2023
  • Wananchi waaswa kutumia fursa zinazotolewa na benki za ndani ya nchi

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.