• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Agizo la Rais kuhusu Machinga latimia Dodoma

Imewekwa tarehe: March 22nd, 2023

Na. Dennis Gondwe, DODOMA 

SOKO la wazi la Machinga kuliingizia Jiji la Dodoma mapato ya shilingi 1,780,368,000 kwa mwaka yatakayosaidia kuboresha huduma za jamii.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jijila Dodoma, Joseph Mafuru alipokuwa akiongelea mafanikio ya serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha miaka miwili Jijini Dodoma.

Mafuru alisema kuwa ujenzi wa Soko la wazi la Machinga katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma umegharimu kiasi cha shilingi 9,529,747,200.66. Fedha zilizotumika katika ujenzi wa Soko la wazi la Machinga, shilingi 6,529,747,200 ni mapato ya ndani ya halmashauri, shilingi 2,500,000,000 ni ruzuku kutoka serikali kuu na shilingi 500,000,000 ni fedha kutoka mapambano dhidi ya Uviko -19.Halmashauri ya Jiji la Dodoma tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuwezesha fedha katika kutekeleza mradi wa ujenzi wa Sko lawazi la Machinga alisema Mkurugenzi Mafuru.

Akiongelea mchango wa soko hilo la wazi, alisema kuwa soko hilo limewawezesha wafanyabiashara wadogo kufanya biashara zao katika mazingira bora na yenye staha. Alisema kuwa halmashauri inatarajia kukusanya shilingi1,780,368,000 kwa mwaka kutokana na maeneo ya kibiashara katika soko hilo.

Matangazo

  • Rasimu za HATI za viwanja zilizowasilishwa Ofisi ya Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati 05/05/2023 May 09, 2023
  • Salamu za Siku ya Wafanyakazi May 01, 2023
  • Salam za Eid April 22, 2023
  • Tangazo la nafasi za kazi April 20, 2023
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Wazazi Kata ya Uhuru watakiwa kulipa kipaumbele swala la malezi ya watoto

    May 31, 2023
  • Mkurugenzi amshukuru Dk. Samia kwa Bilioni 1.6 za ujenzi miundombinu ya elimu

    May 30, 2023
  • Miradi Dodoma yaboresha maisha ya wananchi - DC Gondwe

    May 30, 2023
  • Kasi ya ujenzi madarasa yamfurahisha RC Senyamule

    May 30, 2023
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.