• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Ufugaji

Ufugaji:

Mkoa wa Dodoma ni kati ya Mikoa yenye asili ya wafugaji na mifugo mingi hapa Tanzania. Kwa kuzingatia hili, Mradi wa uendelezaji masoko ya mifugo ulijenga machinjio ya kisasa mjini Dodoma katika eneo la Viwanda.

Machinjio hayo yana uwezo wa kuchinja ng’ombe 300, mbuzi na kondoo 200 kwa siku. Uwepo wa machinjio hayo yamesababisha kuwepo kwa mahitaji makubwa ya mifugo bora kwa ajili ya nyama na mazao mengine yatokanayo na mifugo.

Hii imesababisha kuibua fursa zifuatazo:- 

  • Uwekezaji katika kuboresha uzalishaji wa mifugo ya asili.
  • kuanzisha mashamba ya uzalishaji, unenepeshaji na uhamilishaji mifugo.
  • Kusindika na kufungasha nyama kwa ajili ya soko la ndani na kuuza nje ya nchi (mf. Nchi za ghuba, Falme za kiarabu, Asia, nk)
  • Kuanzisha viwanda vya kusindika na kutengeza bidhaa za ngozi, gundi itokanayo na pembe na kwato za wanyama, vyakula vya mifugo vitokanavyo na damu na mifupa.



Matangazo

  • Tangazo kuhusu zoezi la Anuani za Makazi na Postikodi April 30, 2022
  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2022 April 28, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye USAILI WA MAHOJIANO kwa nafasi za Kazi ya Kukusanya Taarifa za Anwani za Makazi na Postikodi March 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili kwa nafasi za Kazi ya Kukusanya Taarifa za Anwani za Makazi na Postikodi February 28, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Serikali kujenga 'Sports and Arts Arena' Dodoma na Dar

    May 24, 2022
  • Rais Samia ziarani nchini Ghana

    May 23, 2022
  • Wakulima Milioni 1 kunufaika na programu ya mkopo wa pembejeo na soko la mazao

    May 20, 2022
  • Tanzania yafikia lengo uwekaji wa Anwani za Makazi - Waziri Nape

    May 20, 2022
  • Angalia zote

Video

DC Shekimweri awakumbusha wakazi Mtumba kutumia vema fedha za fidia
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.