• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • CityTV

Mkesha wa Mwenge wa Uhuru wanoga Chang'ombe

Imewekwa tarehe: August 15th, 2019

Ni saa nane kasoro usiku hapa kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Chang'ombe ambapo kunafanyika mkesha wa Mwenge wa Uhuru. Mamia ya wakazi wa jiji la Dodoma wamejitokeza kukesha na kushiriki burudani.

Burudani mbalimbali zinaendelea na wasanii kadhaa wamejumuika akiwepo 'Msagasumu', bendi ya Skyway, 'Dangote wa Chang'ombe' , DJ wa AFM na wengineo.

Muziki wa dansi, bongo freva na mingineyo inawafanya watu kufurahia mkesha huu.

Viongozi mbalimbali pia wapo hapa akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobas Katambi, Mbunge wa Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde, Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis Mwamfupe, Naibu Meya Emmanuel Chibago, Mkurugenzi wa Jiji Godwin Kunambi, madiwani wa jiji la Dodoma, wakuu wa Idara na Vitengo wa jiji la Dodoma, na wananchi wa jiji la Dodoma. 

Baadhi ya wakuu wa idara na vitengo wakishiriki mkesha hapa Chang'ombe.

Matangazo

  • Orodha ya wanafunzi Jiji Dodoma waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza 2020 December 06, 2019
  • Mafunzo ya Utengenezaji wa Bidhaa za Ngozi (Viatu, Mipira na Mabegi) August 17, 2018
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Manispaa ya Dodoma March 27, 2018
  • TANGAZO KUHUSU WALIOLIPIA FEDHA KUPITIA AKAUNTI ZA BENKI ZA ILIYOKUWA CDA November 10, 2017
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki

    December 07, 2019
  • Mhe. Mavunde atimiza ahadi kwa walimu waliofanya vizuri, awapeleka Ngorongoro

    December 07, 2019
  • Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura laanza jijini Dodoma

    December 06, 2019
  • Orodha ya wanafunzi Jiji la Dodoma waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza 2020 yatolewa

    December 06, 2019
  • Angalia zote

Video

Uzinduzi wa tovuti mpya za mikoa na halmashauri nchini
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge
  • Baraza la Mitihani

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.